(CHF)Mfuko wa bima wa afya

August 4, 2019 September 25, 2019

Description

Ni mfuko wa bima wa afya unaotoa huduma katika hospital serikali tu kama zahanati,hospitali za wilaya hadi hospitali za rufaa,mfano hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa kwa gharana ya tsh 30000
Kwa gharana hiyo watu sita katika familia wataweza kuitumia bima hiyo ikiwa baba, mama na watoto wanne walio na umri chini ya umri wa miaka 18
Pia mwenye miaka zaidi ya 18 bila familia atatumia gharama hiyo hiyo
Unayehitaji kujiunga ndani ya mkoa wa Iringa wasiliana na waandikishaji wafuatao
Maria kidava 0756166378
Dostan david 0762157828
Tunapatikana Iringa karibu sana

More information

Price: Tsh30000

Category: Services

Viewed: 106

Share by email Share on Facebook Share on Twitter Share on Google+ Share on LinkedIn Pin on Pinterest

Comments


  Contact seller

  Name: Mikaka

  Cell phone: 0759500807
  Phone: 0756166378

  City: Iringa mjini

  Region: Iringa

  Country: Tanzania

   Top