Nyumba inapangishwa semtema

September 6, 2019 October 4, 2019

Description

Nyumba inapangishwa, ipo Semtema kata ya kihesa!
Ina vyumba viwili vya kulala kimoja Masta, Sebule kubwa, jiko. Ina mpangaji mmoja. Ina Veranda la kujitegemea!
Haina parking,
Bei Ni 100000 kwa mwezi!
Kama unapenda njoo!
+255 753 241 451

More information

Price: Tsh100000

Category: Houses for rent

Viewed: 25

Share by email Share on Facebook Share on Twitter Share on Google+ Share on LinkedIn Pin on Pinterest

Comments


  Contact seller

  Name: Mikaka

  Cell phone: 0759500807
  Phone: +255 753 241 451

  City: Kihesa

  Region: Iringa

  Country: Tanzania

   Top