Premium Ads

Houses for rent

Houses for rent in Tanzania
1 - 4 of 4 listings
All Personal Company
Premium
Nyumba inapangishwa semtema
Nyumba inapangishwa semtema
Tsh100000
Nyumba inapangishwa, ipo Semtema kata ya kihesa! Ina vyumba viwili vya kulala kimoja Masta, Sebule kubwa, jiko. Ina mpangaji mmoja. Ina Veranda la kujitegemea! Haina parking, Bei Ni 100000 kwa mwezi! Kama unapenda njoo! +255 753 241 451
Kihesa · Iringa September 6, 2019
Premium
Nyumba inapangishwa uhindini Iringa
Nyumba inapangishwa uhindini Iringa
Check with seller
Nyumbani inapangishwa. Ipo Iringa mjini. Uhindini Opp Aman Store. Ina Frame 2 kubwa zz Biashara (Frontage) Vyumba 4 vikubwa vya kulala. Store 2 , Choo, na Bafu viko separate. Note: No Master Bed Room. Ijapo vyumba vyote 4 ni vikubwa. 0746 129 737
Iringa mjini · Iringa September 5, 2019
Premium
Natafuta nyumba ya kupanga iringa
Natafuta nyumba ya kupanga iringa
Check with seller
Nipo iringa mjini natafuta nyumba ya kupanga iwe na vyumba viwili vya kulala kimoja kiwe self sebure na jiko. Iwe na jipsam na tiles bei isizidi laki moja na nusu parking pia iwepo +255 764 484 282
Iringa mjini · Iringa September 5, 2019
SHARED HOUSE IN IRINGA
SHARED HOUSE IN IRINGA
Check with seller
SHARED HOUSE IN IRINGA. Upo Iringa kikazi, masomo, biashara au una mgeni na nyumba yako haina nafasi? Basi njoo upate chumba kizuri na sehemu ya kupikia. Tunapokea wageni wanaokaa kuanzia siku moja na kuendelea. Nyumba ipo sehemu tulivu (wilolesi) na imezungukwa na fensi, pia kuna sehemu ya kupaki g...
Wilolesi · Iringa August 11, 2019
  • 1
Top