MASHAMBA YA KILIMO NA UFUGAJI YANAUZWA

September 25, 2019 October 4, 2019

Description

,MASHAMBA YA KILIMO NA UFUGAJI YANAUZWA;
BEI; Tsh.150,000/= (laki moja nanusu tu kwa ekari moja,
MAHALI;Mkoani Njombe,
WILAYA;Njombe vijijini,
TARAFA;Lupembe,
KATA; Mfiliga;
KIJIJI; Madeke
IDADI YA SHAMBA;Ekari 400,
KIWANGO CHA UUZAJI; kuanzia ekari moja nakuendelea;
SABABU YA UUZAJI; Nikushindwa kuliendeleza eneo kwa mda mrefu.
KIPIMO KWA EKARI,Mita 70 urefu na mita 70 upana.
UPIMAJI; Inatumika Global position system (GPS)
KILIMO;Palachichi,kalanga poli,(Macadamia),miti ya Mbao,miti ya Nguzo,chai,kahawa,Mahindi,maha
rage,Viazi,karoti nk.
UFUGAJI;Ng'ombe,Mbuzi,Nguruwe na Punda.
UTATARATIBU;Tembelea eneo husika chagua shamba lako ukiridhia upimaji washamba na mkataba wamauziano utafanyika kwenye serikali ya kijiji husika chini ya usimamizi wa ma afisa wa kijiji na kamati ya ulinzi wa aridhi kijijini.
MIUNDOMBINU;Barabara in apitika msimu wote na ipo mpaka shambani,shamba zina mito mikubwa.Nyumba za kulala wageni zipo.
UMBALI;Nikilometa 140 kutoka Njombe mjini/Mkoani
AGRIWORTH TANZANIA TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO;
1.Usimamizi wa shamba kwa mteja aliye mbali na shamba lake.
2.Uzalishaji na uuzaji wa miche ya miti na matunda aina zote.
3.Usambazaji wa viuatilifu kwa wakulima.
4.Uuzaji wa Matunda safi ktk inchi za Kenya,Canada na Uarabuni
5.Kutoa ushauri bure kwa wakulima wenye uhitaji.
7.Uthamini wa shamba lenye Mali kwa mkulima,
Kwa elimu juu ya kilimo na ufugaji usikose kutembelea na kulike page yetu ya agriworth Tanzania.
MAWASILIANO;
Simu,Vodacom,+255763119916 /Tigo,+255656999128;
Barua pepe,agriworthtz@gmail.com

More information

Price: Check with seller

Category: Agricultural

Viewed: 61

Share by email Share on Facebook Share on Twitter Share on Google+ Share on LinkedIn Pin on Pinterest

Comments


  Contact seller

  Name: Mikaka

  Cell phone: 0759500807
  Phone: +255763119916

  City: Lupembe

  Region: Njombe

  Country: Tanzania

   Top