Premium Ads

Nauza mashamba ya miti
Nauza mashamba ya miti
Check with seller
Nauza mashamba ya miti....moja lina ekari moja na miti ya miaka Kumi, la pili ekari 25 lina miti ya ekari 10 umri wa miaka miwili. Mashamba yapo MUFINDI. Kwa anaehitaji anichek inbox au kwa namba yangu ya simu +255 718 035 064
Mufindi · Iringa October 10, 2019
Premium
MASHAMBA YA KILIMO NA UFUGAJI YANAUZWA
MASHAMBA YA KILIMO NA UFUGAJI YANAUZWA
Check with seller
,MASHAMBA YA KILIMO NA UFUGAJI YANAUZWA; BEI; Tsh.150,000/= (laki moja nanusu tu kwa ekari moja, MAHALI;Mkoani Njombe, WILAYA;Njombe vijijini, TARAFA;Lupembe, KATA; Mfiliga; KIJIJI; Madeke IDADI YA SHAMBA;Ekari 400, KIWANGO CHA UUZAJI; kuanzia ekari moja nakuendelea; SABABU YA UUZAJI; Nikushindwa ku...
Lupembe · Njombe September 25, 2019
Premium
Tunauza shamba
Tunauza shamba
Tsh6800000
Shamba lenye ukubwa wa hatua 150 kwa 50 ni sawa na heka mbili kasoro ni zuuri kipo kwenye flat land,mahindi viazi ndizi karanga ,ngano,nyanya kabechi vunastawi vizuuri ukiwa serious unahitaji nipigie ,0765912976,062 1132919,0789455899,barabara IPO mpaka shambani tunauza viwanja na nyumba
Mbeya · Mbeya September 25, 2019
Nauza shamba la miti
Nauza shamba la miti
Check with seller
Habari! Tukiwa tunelekea msimu wa kupanda miti. Nina Shamba nauza -lina ukubwa wa Ekari 150. -Lipo kijiji cha UCHINDILE mkoani IRINGA. -Kuna Barabara inafika hadi shambani. -Linafaa kwa miti aina ya pines au milingoti na Ufugaji. -Vitalu ya miche vinapatikana karibu na shamba. -Limepimwa na Lina hat...
Iringa · Iringa September 25, 2019
Nauza shamba la migomba na kahawa
Nauza shamba la migomba na kahawa
Check with seller
Shamba lina hekari 4 na nusu limepandwa miche 1500 za migoma ni vuno la 2 miche 2500 ya kahawa sisi lipo kiwira mbeya sehemu iliyo pembezoni mwa barabara Ukiwa serious tupigie WhatsApp 0765912976 na normal call ,, 0765911976,,,_,,0621132919,,07 89455899
Kiwira · Mbeya September 24, 2019
Nauza shamba la migomba na kahawa
Nauza shamba la migomba na kahawa
Check with seller
Shamba lina hekari 4 na nusu limepandwa miche 1500 za migoma ni vuno la 2 miche 2500 ya kahawa sisi lipo kiwira mbeya sehemu iliyo pembezoni mwa barabara Ukiwa serious tupigie WhatsApp 0765912976 na normal call ,, 0765911976,,,_,,0621132919,,07 89455899
· Mbeya September 24, 2019
Mashamba yanauzwa tukuyu
Mashamba yanauzwa tukuyu
Tsh5000000
Mashamba nane (8) yanauzwa yapo Tukuyu - Rungwe, Mbeya 1. Shamba la migomba lipo Katumba lina ekari 4 pia linafaa kwa makazi Kuna huduma za Umeme, Maji, Barabara... - Tsh. milioni 16 2. Shamba la ekari tatu (3) lipo Katumba One karibu na Mahakama ya Mwanzo, eneo pia linafaa kwa makazi - Tsh. milioni...
Tukuyu · Mbeya September 24, 2019
Mashamba mbeya
Mashamba mbeya
Check with seller
PATA MASHAMBA KWA MKOPO WA MDA MREFU BILA RIBA WALA DHAMANA Yobex prime property limited(YPPL) Wanakuletea mashamba kwa malipo ya papo kwa papo na MKOPO wa mda mrefu bila RIBA wala DHAMANA.yako mkoa wa Mbeya. Tunauza kuanzia heka moja na kuendelea,yanapatikana maeneo ya: Inyala Mbalizi Mshewe Itewe ...
Mwanjelwa · Mbeya September 24, 2019
Kilimo cha maparachichi
Kilimo cha maparachichi
Tsh6000
NEMESI GREEN GARDEN Wawatikaji bora mkoani njombe na wakulima bora nyanda za juu kusin, Tunatoa huduma ya utaalamu Kufundisha kilimo cha parachichi kwa kuwatembelea mashambani Kupokea tenda za upandaji wa miche ya parachichi kitaalamu Pia tunauza miche ya maparachichi Bei ya kifungashio hicho Tsh 60...
Njombe · Njombe September 24, 2019
Njombe forest plantation
Njombe forest plantation
Tsh200000
Njombe forest plantation ; inatoa huduma zifuatazo. 1.Upatikanaji wa shamba la kununua kwa ajili ya kilimo cha parachichi kwa gharama ya Tsh.200,000/= kwa ekari moja. 2. Uuzaji wa miche ya parachichi aina ya Hass na Fuerte. 3.Usimamizi wa shamba kwa mteja aliyembali na shamba lake. 4.Uanzishaji wa m...
Njombe · Njombe September 24, 2019
Top